WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday 12 February 2012

DIABATÉ AICHANGANYA KAMBI YA GHANA

Diabaté mfungaji wa mabao ya Mali akipambana na Annan Ghana

...........................................................................

Mabao mawili ya Mali yaliyotundikwa kimiani na Cheick Tidiane Diabaté dhidi ya Ghana yameweza kuipatia nchi hio mshindi wa tatu katika mashindano ya African Cup Of Nations 2012 katika pambano lililochezwa katika mji wa Malabo Equetorial Guinea,

hakicheza kwa staili ileile waliyoinza nayo ya mpira wa uhakika wa pasi za elewano mkubwa Mali waliweza kuandika bao la kwanza katika dakika 23 lilipachikwa na Diabaté.

Diabaté kwa mara nyingine iliongeza Mali bao la pili katika dakika ya 80 na kuihakikishia nchi yake kutwaa medali ya shaba katika mashindano ya mwaka huu na kuiwacha Ghana kuucheza mpira zaidi magazetini kwa kujiamini kwao kuwa na kikosi zaidi ya nchi nyingine walizoshiriki mashindano hayo na hivyo kusababisha hasira kubwa kwa mashabiki wa timu hio ya Ghana kwa kushindwa hata kutwaa nafasi ya tatu katiba mashindano hayo.

Awali mashabiki hao katika pambano la nusu fainali dhidi ya Zambia waliondoka na hasira kubwa dhidi ya Asamoah Gyan kwa kupoteza penalti ambayo iliwagharimu Ghana kutolewa katika hatua hio ya nusu fainali jambo lililompelekea kocha wa nchi kutompanga mfungaji huyo katika kikosi cha leo kwa mara ya kwanza tokea mashindano hayo kuanza.

Kesho ni siku ya mwisho ya mashindano hayo makubwa kuliko yote barani Africa wakati

Zambia itapepetana na Ivory Coast katika pambano la fainali kumpata bingwa wa bara la Africa mwaka 2012.