WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 5 February 2012

"ELEPHANTS"WAWAKANYAGA KANYAGA EQUETORIAL GUINEA

Ivory Coast wakitumia uzoefu wa mashindano makubwa na uwezo wa wachezaji wao katika mapambano makubwa mbalimbali wanayokumbana nayo leo wameweza kuwaadhibisha na kuwatupa nje ya michuano ya Africa Cup of Nations 2012 waandaji washirika Equtorial Guinea baada ya kuichapa mabao 3-0 na kusonga mbele hatua ya nusu fainali.
Mabao ya Ivory Coast yalifungwa na Drogba katika dakika za 36 na 70,Yaya Touré katika dakika ya 82 kwa mkwaju mkali wa adhabu uliokwenda moja kwa moja kona ya juu kulia hivyo kuwafanya waandaji kuaga mashindano hayo.