WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 4 February 2012

ZAMBIA YA KWANZA KUINGIA NUSU FAINALI CAN 2012

Zambia imeingia nusu fainali za michuano ya soka ya Can 2012 baada ya kuichapa Sudan jumla ya mabao 3-0.katika pambano hilo mabao ya Zambia yalifungwa na Sunzu kwa kichwa katika dakika ya 15 wakati lile la pili lilipachikwa na Nahodha Katongo kwa njia ya penalti na Chamanga katika dakika ya 86 alihitimisha kuipigilia Sudan msumari wa mwisho na kuifanya nchi hio kuaga mashindano hayo ya mwaka huu.