WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 17 February 2012

KINDA MWINGINE APACHIKA BAO PEKEE LA USHINDI F.C. TWENTE

Kinda Ola John akipongezwa moja katika mabao yake.
.......................................................................................................................................

Ola John katikati (11)akiwa na Adam Maher kulia (10)wakiwa na timu ya Taifa ya Vijana ya Holland.

..............................................................................................................................

Ola John moja ya pambano la Europer League
............................................................................................................................

Ola John amekuwa ni mshambuliaji kinda wa kutisha katika nafasi ya pembeni kushoto ambapo amecheza mechi karibu zote za ligi za msimu huu na mechi kadhaa za msimu uliopita tokea kuanza kucheza machi yake ya kwanza katika kikosi cha kwanza cha F.C Twente ya Enschede nchini Holland.

Yosso huo ambae ana umri wa miaka 19 amezaliwa tarehe 19-05-1992 katika mji wa Zwedru nchini Liberia amekuwa ni tishio kubwa kwa mabaki wa kulia akiwa na timu yake hio ya F.c Tentwe ikiwa ni pamoja na mechi za ligi ,za Champions League na Europer League ambapo leo ameifungia timu bao muhimu dhidi ya Steua Bucharest ya Romania hivyo kuipa nafasi nzuri timu yake katika pambano la marejeano watakapocheza nyumbani kwao.

Ola John ambae ni mmoja ya washambuliaji wakali nyota wa timu ya Taifa ya Vijana ya Holland "Jongen Oranje" emeitwa pia kwa mara ya kwanza na kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Holland Bert Van Marwijk kujiunga na timu ya Taifa ya Holland siku ya tarehe 23-02-2012 kujiandaa na pambano la kirafiki dhidi ya England pambano litakalofanyika nchini Holland tarehe 29-02-2012 kujiandaa na michuano ya Euro 2012.Ola John ,Adam Maher na kinda mwingine anafanya sura tatu mpya kwa mara ya kwanza katika kikosi cha Holland kitakachokutana na England mwishoni mwa mwezi huu.

Katika pambano la Leo kocha wa Timu ya F.c Twente Muingereza Steve McLaren alimpongeza sana kinda huyo kwa mchezo mkubwa aliouonyesha pia amempongeza Nyota huyo kuteuliwa katika timu ya Taifa A ya Holland.