WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 17 February 2012

YOSSO MAHER AENDELEA KUPACHIKA MABAO

Kinda Adam Maher akifurahia moja ya mabao anayoendelea kufunga hapo ilikuwa ndidi ya Metalist Charkov ya Ukrain na leo alibandika bao pekee dhidi ya Anderlecht ya Belgium
Timu kubwa zenye majina za england na Spain na Germany zinapigana vikumbo kumuwania Yosso huyo kabla ya kutokea timu nyingine kuwahi kumnyakua huku timu yake ya AZ Alkmar ikimkazia buti kuhakikisha hawampotezi katika timu yao ambae kwa sasa ni tegemeo la timu hio
......................................................................................................................................

Adam Maher Yosso wa Az akimnyanyasa Eyang Enouh wa Ajax Amsterdam ligi kuu ya Holland.

Enouh ni mmoja wa vijana nyota waliogunduliwa na Ajax Capetown nchini Cameroon kabla ya kumuhamishia makaazi yake nchini Afrika ya Kusini ambapo alipata mafunzo katika timu hio kabla ya kuchukuwa na Ajax Amsterdam ambapo kwa sasa ndie kiungo mlinzi wa kutegemewa waAjax Amsterdam ambae hakucheza dhidi ya Manchester United kutokana na majeruhi.