WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 2 February 2012

MASHABIKI 74 WAFARIKI AL MASRY VS AL AHLY

Watu 74 wamefariki na zaidi ya elfu moja kujeruhiwa katika vurugu kubwa iliyotokea jana baada ya mashabiki katika ya Al Masry na Al Ahly ambapo Al Masry iliichapa Al Ahly kwa mabao 3-0 ambapo mashabiki waliingia uwanjani na kuanza vurugu hizo katika mji wa Port Said nchini Egypt jana ambapo ziliishia kuwa uwanja wa siasa baada ya soka.
Kutokana na vurugu hizo kubwa zilizosababisha watu kadhaa kupoteza roho zao pamoja na majeruhi mechi kati ya Zamalek na Ismailia ilisimamishwa kutoendelea kuchwezwa ambapo hadi mapumziko mabao yalikuwa ni 2-2.