WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 4 February 2012

ORANJE FOOTBALL ACADEMY YAANZA VIZURI KUTETEA UBINGWA WAKE

Mabingwa wa soka wa Zanzibar kwa vijana chini ya miaka 20 Oranje Football Academy leo wameanza vizuri kutetea taji lao walilolitwaa msimu uliopita baada ya kuifunga El Hapa mabao 3-1 katika pambano la awali la hatua ya makundi lililofanyika katika uwanja wa Ngome Fuoni.
Pambano hilo lililokuwa na ushindani mkubwa kutokana na timu zote mbili kutandaza soka waliyoelekezwa na walimu wao ambapo timu hizo zipo katika kundi A.
Walikuwa ni mabingwa wa Zanzibar U20 Oranje Football Academy ambao walitandaza soka ya uhakika na kuondoka na point 3 muhimu katika pambano hilo mabao ya O.F.A yalifungwa na washambuliaji wake hatari ambao wapo katika timu ya taifa ya Zanzibar U17 Yunus Benard alipachika mabao 2 na mchezaji bora wa msimu uliomalizika wa 2011 Mzee Kheri alitundika bao moja katika pambano hilo ambapo O.F.A walitandaza soka safi ambapo pia kocha Abdulghani Msoma alikuwepo kushuhudia vijana wake wanavyosakata soka ya kufundishwa.