WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 2 March 2012

ERIC "RONALDO" WA KIMATAIFA WA TANZANIA ATAKAE MUONGOZA SAMATTA KATIKA STARS MPYA

EDWARD "EDDIE" BAHATI ODHIAMBO PICHANI MCHEZAJI WA KIMATAIFA WA TANZANIA AKITOKEA MJINI ARUSHA MWENYE UJUZI WA MUDA MREFU AMBAE ATAONGOZA SAFU YA KIKOSI KIPWA CHA STARS MPYA INAYOTARAJIWA KUUNDWA NA NYOTA KIBAO WANAOSAKATA SOKA YA KULIPWA BARANI ULAYA.

 ILI TANZANIA SASA NAYO IANZE KWENDA NA WAKATI NA KUWACHA TABIA YA KUGANDA NYUMA NA KUKUMBUKA MIAKA YA 80 HIVYO KULIFANYA SOKA LA NCHI KUWA NA MAWAZO BADO YA MAIKA HIO BADALA YA KUCHEZA SOKA YA KITABUNI KAMA NCHI ZOTE ZINAZOFANYA DUNIANI.

HIVI SASA NI WAKATI KWA WATANZANIA KUANZA KUFURAHIA MATUNDA YA WANANDINGA WAO WALIOKO NJE KAMA MATAIFA YA ULAYA NA MATAIFA YA AFRICA KUTEGEMEA NYOTA WAO WANAOSAKATA SOKA NJE.

KUTOKANA NA KIKOSI CHA TANZANIA KUWEKEZA NA KUPOTEZA $ 2,5 MILIONI ZA KIMAREKANI KWA KUILETA BRASIL NCHINI ILI TUJIFUNZE INAONEKANA NCHI IMEPOTEZA NA KUPATA HASARA KUBWA KWA KUILETA NCHI HIO KWANI HAKUNA AMBACHO TULIJIFUNZA KWAVILE WACHEZAJI WENGI WALIODHANIWA WANGELIKUWA WAWAKILISHI WA NCHI HIVI SASA NDIO WANAONEKANA KUFIKIA UKINGONI KUTOKANA NA UMRI WAO.

 PAMOJA NA KULETA BRASIL NA KUCHEZA NAO AMBAPO KARIBU WACHEZZAJI WOTE WA STARS  WALIOCHEZA KAMA HAWAKUONEKANA MAPEMA KUWA WASINGELIWEZA KUENDELEA KWA MUDA MREFU NA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WAGENI HAO "INAKUWA NI SAWA NA KUBEBA MAJI NDANI YA PAKACHA" .

PAMOJA NA KUTOA MSHAHARA MNONO KWA MAXIMO LAKINI TUTAKUWA TUKIBAKIA KUBADILISHA MAKOCHA WAKATI WACHEZAJI WETU WA STARS NCHINI WANAJITUMA HADI KUPITA MWISHO WA UWEZO WAO NA KUMALIZIA KUTOLEWA MAPEMA,SIO MAKOSA YA KOCHA KWANI HATA AKIJA MOURINHO AU FERGUSON WATASHINDWA KUTOKANA NA WACHEZAJI KUGONGA UKUTA KWA UJUZI WAO.

VIJANA WA STARS WANAHITAJI KUPEWA SIWA KWANI HAWACHAPWI TENA 5-0 HIVI SASA VIJANA WETU WANAHITAJI KUSAIDIWA NA WANANDINGA WETU WANAOSAKATA SOKA NJE ILI KUWAONGEZEA UJUZI NA PIA KUITANGAZA NCHI NA NDIO SAFARI YA KUUZA WACHEZAJI NJE PAMOJA KUFANYA VITU  VYA UHAKIKA.

AIDHA TUJIPANGENI KWA TIMU YA TAIFA YA VIJANA AKINA ERIC ODHIAMBO,MBWANA SAMATTA,SLEIMAN LELUU,ADAM NDITI PAMOJA NA NYOTA KADHAA WALIOPO NJE NA WALIOPO NCHINI ILI TUJITAYARISHE KWA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA ZITAKAZOFANYIKA RUSSIA PAMOJA NA MAKOMBE MENGINE MAKUBWA KUANZIA MIAKA 3 AU 4 IJAYO

EDDIE BAHATI ODHIAMBO MZOEFU BEKI WA LULIA NA KATI ATAKAEZIDI KUWAPA UJUZI WALINZI WA STARS MPYA NDANI YA MIAKA 2 HADI MITATU IJAYO ILI KUWEZA KUUJENGA UKUTA WA CHUMA AKISHIRIKIA NA NDUGU ZAKE WALIOPO SASA KATIKA UKUTA HUU WA STARS.(PAMOJA NA UMRI WAKE ANAWEZA KUITWA KIKOSINI KUTUPATIA UJUZI WAKE ZAIDI KWA VIJANA WAPYA WATARAJIWA WA STARS MPYA). 

EDWARD BAHATI ODHIAMBO NI MDOGO WAKE ERIC "RONALDO" ODHIAMBO (PICHA INAYOFUATIA HAPO CHINI) ANAECHEZA SOKA YA KULIPWA KWA SASA NCHINI UTURUKI KATIKA KLABU YA SUPER LIG YA DENIZLSPOR.
........................................................................................................................................
.......................................................................................................................................
........................................................................................................................................
ERIC ODHIAMBO ANACLET MIAKA 22


"RONALDO" MTARAJIWA WA TAIFA STARS ERIC ODHIAMBO (PICHANI CHINI) ATAKAE MUONGOZA SAMATTA NA KUIFANYA SAFU YA UFUNGAJI YA STARS MPYA KUWA KIWANDA CHA KUPACHIKA MABAO.
MSHAMBIAJI HATARI WA TANZANIA ERIC ODHIAMBO ANAETARAJIWA KUIONGOZA SAFU YA TAIFA STARS PIA KUMPA MAFUNZO ZAIDI NA KUMUONGEZEA NGUVU ZA UFUNGAJI MBWANA SAMATTA NA KUWAFANYA WATANZANIA KUANZA KUCHEZA WAKIWA UWANJANI BAADA YA MIAKA MINGI YA USHINDIKIZAJI KATIKA MASHINDANO MBALIMBALI.

(PICHANI JUU) ERIC AKIPACHIKA BAO LA KUSAWAZISHA DHIDI YA RANGERS YA GLASGOW MBELE YAKE ALIEVAA JEZI BLUE NI MLINZI MKALI WA KATI WA RANGERS NA KAPTAIN WA TIMU YA TAIFA YA ALGERIA YEBDA AKIANGALIA BILA YA MAFANIKIO DOGO AKICHANA NYAVU ZA RANGERS KATIKA LIGI KUU YA SCOTLAND.
ERIC ODHIAMBO NI MDOGO WAKE EDWARD BAHATI ODHIAMBO.
ERIC ODHIAMBO AKIPACHIKA BAO LA KUSAWAZISHA KATIKA DAKIKA ZA MWISHO KATIKA UWANJA WA IBROX DHIDI YA GLASGOW RANGERS NA KAUNDIKA BAO 1-1.

...........................................................................................................................
...........................................................................................................................
...........................................................................................................................

SLEIMAN LELUU MSHAMBULIAJI HATARI WA STARS MTARAJIWA MIAKA 20.


MSHAMBULIAJI MWINGINE UMRI MIAKA 20  KUTOKA ZANZIBAR-TANZANIA

KINDA WA ZAMANI WA ARSENAL,COVENTY CITY NA AMEWAHI KUITWA KWA MARA TOFAUTI KATIKA KIKOSI CHA U18 NA U19 CHA ENGLAND. LELUU YUPO KARIBU SANA NA VIONGOZI WA NGAZI YA JUU WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY AMBAPO KIU YAKE NI KUJA KUICHEZEA NA KUTOA MCHANGO WAKE KATIKA  TIMU YA TAIFA LAKE LA TANZANIA NA YUPO TAYARI WAKATI WOWOTE ULE AMBAO TAIFA LITAMUHITAJIA.

MECHI YA MWISHO YA LEUU KATIKA KIKOSI CHA ENGLAND U19 ILIKUWA NI TAREHE HII.
England 7 – 0 Northern Ireland (Loughborough University, Home Nations U19 Tournament) – Friday 22nd April 2011. AMBAPO LELUU ALIPACHIKA BAO LA PENALTI KATIKA DAKIKA DAKIKA YA 17 NA KUSABABISHA MENGINE KADHAA KATI YA HAYO 7.

 SLEIMAN LELUU COVENTRY CITY http://www.ccfc.co.uk/page/AcademyNews/0,,10269~1634796,00.html   

http://www.footballzz.com/jogador.php?id=184332
....................................................................................................................
..................................................................................................................
.................................................................................................................
ADAM NDITI KIUNGO NA BEKI MKALI WA PEMBENI  WA STARS MTARAJIWA.MIAKA 17.
...................................................................................................................
..................................................................................................................
..................................................................................................................
ORANJE FOOTBALL ACADEMY IPO TAYARI KUSHIRIKIA NA WATANZANIA WOTE ILI KUWEZA KUWAPATIA MAJINA YA WANANDINGA WOTE WA KIMATAIFA WA TANZANIA WANAOSAKATA SOKA YA KULIPWA NJE AMBAPO WAPO WENGI SANA WA KUUNDA KIKOSI CHA KUTISHA  PINDI IKIHITAJIWA KUFANYA HIVYO ILI KUWEZA KUIJENGA NCHI NA TAIFA JIPYA LINALOKWENDA WA SOKA LA KISASA.
...............................................................................................................
...............................................................................................................
..............................................................................................................