WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 5 April 2012

BARÇA VS CHELSEA, MADRID VS BEYERN

Chelsea itachuana na Fc Barcélona katika nusu fainali ya michuano ya Uefa Champions League baada timu zote kushinda mechi zao za mwisho za robo fainali.Huku Barça ikiitoa nje ya michuano Milan kwa mabao 3-1,chelsea nao wameiondoa Benfica kwa idadi hio ya mabao katika mechi mbili.
Real Madrid imeingia nusu fainali baada ya kuiadhibu Apoel Nicosia kwa jumla ya mabao 8-2 katika mechi mbili hivyo kuifanya timu hio kuongoza kwa mabao mengi katika michuano hio tokea ilipoanza sasa itakumbana na Fc Bayern München waandaaji wa fainali hizo,bayern imeichapa OL Marseille kwa jumla ya mabao 2-0 kwa kila mechi hivyo kuvuuka kwa jumla ya mabao 4-0.