WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 17 April 2012

BAYERN MÜNCHEN YAIFUNGA MADRID 2-1

bayern München imeutumia vizuri uwanja wake wa nyumbani kwa kuifunga Real Madrid jumla ya mabao
 2-1 katika pambano la awali la nusu fainali ya Eufa Champions League.
hata hivyo Real Madrid bado ina nafasi nzuri ya kusonga mbele katika michuano hio kutokana na bao la ugenini kama Bayern haitozuwia ushindi wao huo ambavyo dhahiri haitokuwa rahisi kwa Madrid katika pambano hilo kutokana na Bayern kuhakikisha inafanya vizuri katika pambano hilo ili kuweza kusonga mbele Fainali itakayochezewa katika uwanja wao wa nyumbani.
mabao ya Bayern yalifungwa na Ribery  na Mario Gomez ambae anaongoza kwa ufungaji wa mabao 12 katika michuano hio pia huku akifatiwa na Messi wa Barçelona akiwa na mabao 11.
Bao la Madrid lilifungwa na Ozil.