WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 15 April 2012

ORANJE FOOTBALL ACADEMY YAANZA VIZURI KUTETEA UBINGWA

Mabingwa wa soka wa Zanzibar kwa vijana wenye umri chini ya mika 20 ORANJE FOOTBALL ACADEMY leo wameanza vyema kampeni za kutetea ubingwa wao baada ya kuilaza  LEEDS  UNITED kwa bao 1-0 katika pambano ambalo vijana wa O.F.A walionekana kuwa chini ya kiwango chao cha kawaida.
Pamoja na kucheza chini ya kiwango chipukizi wa O.F.A waliandika bao hilo muhimu kupitia kwa Yunus Abdalla katika mechi zinazoshirikisha timu 6 bora.

Katika mechi ya mwisho hatua ya makundi ambapo Leeds walikuwa ni washindi wa kwanza wa kundi hilo waliweza kuwafunga O.F.A jumla ya mabao 3-1 hivyo katika pambano la leo ilikuwa ni muhimu la kuanza kampeni ya kumpata bingwa wa Zanzibar kituo cha  Unguja kabla ya kuwapata wawakilishi wanaozikutanisha timu kutoka kituo cha Pemba na kumpata bingwa Zanzibar ubingwa ambao hivi unashikiliwa na Vijana wa O.F.A.