WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 22 April 2012

BORUSSIA DORTMUND MABINGWA TENA BUNDESLIGA 2011/2012


Borussia Dortmund imetwaa ubingwa wa soka wa Ujerumani kwa mwaka wa pili mfulululizo baada ya kuwachapa Borussia Monchingladbach jumla ya mabao 2-0 katika pambano kali lililohudhuriwa na mashabiki elfu 80 katika uwanja wa nyumbani wa mabingwa hao wa Signal Iduna Park.

walikuwa ni Perisic aliepachika bao la kwanza katika dakika ya 23 wakati lile la pili lilifungwa na kiungo mkali kuliko wote kwa wakati huu katika ligi ya ujerumani mjapani Shinji Kagawa alipigilia msumari wa ubingwa wa timu yake katika dakika ya 59 ya pambano hilo.