WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 18 April 2012

CHELSEA YASHINDA 1-0 DHIDI YA BARÇELONA

Chelsea imetumia vizuri kati ya nafasi kiduchu ilizopata katika lango la Barçelona na kushinda bao 1-0 katika pambano la nusu fainali hivyo kuifanya Chelsea kuwa nusu njia kuelekea katika fainali za michuano ya Eufa Champions League.
Katika pambano hilo Barçelona walitawala vipindi vyote viwili ambapo walikosa nafasi nyingi za wazi za kuweza kukomboa bao hilo ambalo lilifungwa na Drogba katika dakika za majeruhi za kipindi cha kwanza.