WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday 26 August 2012

Sharif mmoja kati ya nyota wengi wa znz wanaoweza kuleta mapinduzi ya soka nchini

 


Mo Sharif Mtoto mwenye umri wa miaka 19. ni mtoto wa Mshambuliaji wa Zamani wa Jamhuri alikuwa akiishi nchini.
Mo tayari  amesaini mkataba na Klabu ya ligi kuu ya England Queens Park Rangers Mark hughes baada yakufuzu majaribio na timu hiyo.

 Kocha wa QPR anafikiri anaweza kuingia kwenye first eleven na kuweza kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza Ligi ya Uingereza mwaka huu kwa jinsi alivyoweza kuonesha uwezo wake wa kulisakata kandanda.

Hazina hii ya wachezaji wa zamani pia tuna Adam nditi mtoto wa mchezaji wa zamani Eric Nditi ambaye yupo katika timu ya vijana ya Chelsea.
Baadhi ya wadau wa soka wanaoishinje ya nchi wameweza kuiuliza  blog hii inayomilikiwa na kituo cha Orange Football Academy kuwa je, Sensa ya watu na makaazi inayoendelea nchini kote hii sasa inawasaidia nini raia wake kama hawa? au familia zao zinatakiwa kutowajumuisha kama ni watoto wao wa kizanzibar wanaoishi nje? au je kama wewe ni mzanzibar unaishi nje ya nchi kama Kenya au Uganda,Asia au Ulaya uzanzibar wako unakuwa umefutika moja kwa moja?
Wadau wanauliza kama wazazi wa watoto hawa watatakiwa kuwajumuisha katika sensa inayoendelea nchini kuwa ni watoto wao ambao tu hawapo nchini na wapo nje ikiwa kwa kwenda kimasomo,kutembea au kujitafutia maisha kwaajili ya kuzisaidia familia zao suala , Je vijana hao wanahesabiwa kuwa sio watoto wa hao wazazi wao kwa vile wapo nje ya nchi?
kama Sensa itawajumuisha kuwa ni watoto wa hao wazazi wao je kwanini wasitumike kuja kuisaidia nchi kupata mapinduzi ya soka na kuwa kama nchi zote za Africa na duniani zilizoendelea kisoka.
Wadau wamemalizia kwa kuuliza kama mtu kuishi nje ya ni dhambi kwa sheria za nchi?na kama ikibidi kuhesabiwa katika sensa basi je si hapo nchi itakuwa imejumuisha hawa watu wanaoishi nje kama pia ni raia wao?
Wadau wengi wa soka wameutaka uongozi mpya wa ZFA kuweza kuanza kuwafuatilia vijana wake na kuanza kuwatumia ili kuweza kuleta kikosi kikali cha timu ya taifa na kuweza kuwa nchi zote za bara la Africa zinazowatumia vijana wake wanaoishi au kuzaliwa nje ya nchi.