WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 7 January 2013

O.F.A YAENDELEA NA MECHI ZA KIRAFIKI PAMOJA NA MAZOEZI KUJIANDAA NA LIGI

Oranje Football  Academy U17 imeshinda bao 1 - 0 dhidi ya Sap Soap
 wakati ndugu zao wa  U-15 walitoka sare 3 - 3 na timu ya Rio Bwanco katika mechi za kirafiki zilizofanyika katika kiwanja cha mao tse tung B siku ya jumamosi iliyopita


 (nyota mwenye kipaji kikubwa cha ufungaji Abdul-Halim kizizou qlieshikwa bega ambae anafananishwa na Zidani kwa usanifu wake wa soka kiwanjani)

ORANJE ACADEMY U - 14 WAMEWEZA KUFANYA MAZOEZI YA MECHI YA KIRAFIKI NA KUJIPIMA NGUVU NA SHANGANI  F.C U 17 O.F.A IMEWEZA KUTOKA KIWANJANI NA USHINDI WA GOLI 2 - 1 DHIDI YA SHANGANI F.C.
MAGOLI YA ORANJE FOOTBALL ACADEMY YAMEFUNGWA NA MCHEZAJI ABDUL-HALIM MABROUK KI-ZIZU KATIKA KIPINDI CHA KWANZA.

 ORABJE FOOTBALL  ACADEMY U17 PIA KATIKA MECHI NJINGINE YA  KIRAFIKI WAMEFUNGWA GOLI 2 - 1 DHIDI YA TIMU YA MBWENI KIDS KATIKA ?ECHI ILIYOCHEZWA KATIKA KIWANJA CHA MAO B.