WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 4 January 2013

ORANJE FOOTBALL ACADEMY IPO FITI KUANZA LIGI MSIMU WA 2013

 
ORANJE FOOTBALL ACADEMY  U14 JUMAMOSI TAREHE  29/12/2012 IMEWEZA KUIFUNGA TIMU YA KIEMBE SAMAKI ACADEMY MAGOLI 3 - 1 
KATIKA MECHI ILIYOCHEZWA  KATIKA KIWANJA CHA MAO TSE TUNG  "B".
 
MAGOLI YA TIMU YA ORANJE YALIFUNGA MOJA KIPINDI CHA KWANZA NA MAWILI KIPINDI CHA PILI 
KUPITIA KWA WACHEZAJI WAKE ADAM (EDO), JAFFAR (A. YOUNG) NA ABDUL-HALIM (KI-ZIZU).
 
ORANJE ACADEMY U - 14  JUMAPILI  TAREHE 30-12-2012 ILIICHAPA  TIMU YA D3 KIDS JUMLA YA MABAO 4-1 KATIKA MECHI YA KIRAFIKI ILIYOCHEZWA KATIKA KIWANJA CHA MAO "B" SAA 8:00 MCHANA
 
MAGOLI YA TIMU HIYO YAMEFUNGWA NA MCHEZAJI MJAKA GOLI 1,
 HABIBU BAYEE GOLI 1, IBRAHIMU GOLI 1 NA ADAM EDO.
 
NA KWA UPANDE WA U - 17  JUMAPILI  ILIYOPITA ILITOKA SARE YA MAGOLI 2 - 2 DHIDI YA TIMU YA VIJANA WA BUBUBU KATIKA MECHI YA KIRAFIKI ILIYOCHEZWA KATIKA KIWANJA CHA MAO TSE TUNG  "B" SAA 10:00 JIONI
 MAGOLI YA O.F.A  YAMEFUNGWA NA MCHEZAJI ABDULHALIM DIDIYE GOLI 1 
NA HAMED RIBERY.
 
MECHI ZOTE HIZO NI  KWA AJILI YA KUJIWEKA SAWA NA LIGI INAYOTARAJIWA KUANZA TAREHE 13/01/2013.