WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 1 March 2013

LIGI:VIJANA WA U17 NA U14 KUJITUPA VIWANJANI KESHO

Oranje Football Academy U17 Kesho Jumamosi  Wanacheza mechi ya Ligi ya Daraja la Junior dhidi ya New Vision. pambano litakalofanyika Katika Kiwanja cha Ujamaa Mnazi mmoja saa 2:00 asubuhi

Kwa upande wa wadogo zao wa U14 wao watajitupa katika kiwanja cha Wazee Maisara (Chipukizi) pale watakapocheza  mechi hio ya ligi dhidi timu ya New ZNZ Academy Saa 10:00 asuhuhi katika Kiwanja cha Wazee Maisara (Chipukizi) katika mapambano yote hayo yote yakiwa ni raundi ya 7 huku vijana wote wa Oranje Football Academy wale  U17 na U14 zimefikisha Point 11 kwa michezo yao sita waliyocheza kila mmoja .
Tunaomba wapenzi wetu na mashabiki wa mpira Kujitokeza kwa wingi kuja katika mechi zetu  hizo kuangalia vijana wetu wakionyesha uwezo wao mkubwa wa kusakata soka.