WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 14 March 2013

ORANJE FOOTBALL ACADEMY YAENDELEA NA MAZOEZI

Vijana wa O.F.A Oranje Football Academy U17 jana wameendelea kufanya mazoezi ya kujiaandaa na mchezo wao wa Round No. 9 utakaochezwa Jumapili 17/3/2013 katika Kiwanja cha Small Simba Saa 4:00 asubuhi mchezo huo ambao ni mwisho katika hatua ya makundi na kuelekea hatua ya 12 Bora.


Licha ya hali ya hewa kubadilika na kuanza kunyesha Mvua na baadhi ya Viwanja kushindwa kutumika kwa kuchezea mechi na mazoezi. Bado tu yetu ya Oranje inajivunia na kuwa na hali nzuri ya viwanja vyake vya kufanyia mazoezi na kuweza kunawirika kwa kuota nyasi sehemu ambazo hazikuwa na nyasi.

Nao vijana wa U14 siku hiyo hiyo ya Jumapili 17/3/2013 watacheza mchezo wa ligi Round No. 8 na timu ya Survivor katika Kiwanja cha MAO TSE TONG "B" Saa 10:00jioni  pindipo vijana hao wa Oranje Football Academy U14 watashinda watasogea hadi nafasi ya nne katika makundi na kuifanya timu kuweza kusonga mbele hatua ya 12 Bora.