WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 6 April 2013

MAONI YA "KUKARABATI" SOKA LA VIJANA NCHINI

MDAU ALIEJITAMBULISHA KWA JINA MOJA KAMA "MTAALAMU" AMETOA MAONI YAKE KUPITIA WEBBLOG HII INAYOMILIKIWA NA KITUO CHA KUKUZA SOKA KWA VIJANA NCHINI ORANJE FOOTBALL ACADEMY KUHUSIANA NA "UKARABATI" WA SOKA LA VIJANA NCHINI.

KATIKA MAONI YAKE AMESEMA:
"HIVI KARIBUNI WADAU WENGI NCHINI WAMEKUWA WAKISIFIA MAWAZO YA KOCHA MKUU WA TAIFA STARS NA KUSEMA MAWAZO HAYO KUWA NI "BOMBA"''.

KUTOKANA NA UTAALAMU WAKE NI KUWA MAWAZO HAYO "SI CHOCHOTE" NA YATALETA "SUNAMI" YA KUFA SOKA NCHINI PAMOJA NA KUFUMUA MIGOGORO MINGI AMBAYO WATANZANIA WAJITAYARISHE KUYAPOKEA KAMA MAONI HAYO YA KOCHA HUYO KUTOA BARANI ULAYA YATAFATWA.

AKIKARIRI MAWAZO YA KOCHA HUYO " NI KUTAKA TIMU YA TAIFA YA VIJANA NCHINI "SERENGETI BOYS" ISHIRIKISHWE MOJA KWA MOJA KATIKA LIGI KUU ILI KUWANOA WACHEZAJI HAO WA TAIFA YA VIJANA KATIKA KIWANGO AMBACHO KITAWEZA KUCHANGIA SOKA LA TAIFA KWA KIWANGO KIKUBWA KUTOKANA NA KUCHEZA MECHI NYINGI ZA LIGI KUU NCHINI.

ALISEMA " MTAALAMU" HUYO KUWA SOKA LA "TANZANIA" BADO LIMETAWALIWA NA UZUSHI MWINGI, PAMOJA NA "MCHEZO MCHAFU" KWA MFANO KAMA ILIVYO LIGI KUU HIVI SASA NI KUWA MSIMAMO NI MGUMU SANA'

LEO TIMU YA TAIFA YA VIJANA KATIKA DAKIKA HIZI ZA LALA SALAMA INACHEZA MECHI YAKE YA LIGI DHIDI YA "YANGA" "SIMBA" KIPA AU WALINZI WA TIMU HIO YA TAIFA NI WACHEZAJI WA TIMU "B" AU "A" YA "SIMBA" "YANGA"

UNADHANI MLINDA MLANGO WA TIMU YA TAIFA YA VIJANA,AU BEKI WAKE, WATASHINDWA KUIWACHIA TIMU YAO ILIYOWAAJIRI "YANGA""SIMBA" AU "AZAM " WATWAE UBINGWA? HILO SIO JAMBO LA ETI KUDHANIA,
BALI NI LAZIMA WAACHIE, HATA WEWE UTAWEZA KUIWACHIA TIMU YAKO ILIYOKUAJIRI MABAO ILI ITWAE NAFASI MUHIMU ZA JUU KWAVILE TIMU YAKO YA TAIFA YA VIJANA HAIHITAJI KUTWAA UBINGWA AU KUGHARAMIKA YEYENYE KAMA VILABU VYA MITAANI VINAVYOGHARAMIKA.

KUANZIA HAPO NDIO YATAKAPO ANZA MALUMBANO,KUONESHANA VIDOLE MACHONI NA HAPO TENA NDIO ITAKUWA MWANZO TU, KWANI MSIMU UTAKAOFATA NA WENGINE WATAACHIA TIMU ZAO KWA VILE WALE WA MSIMU ULIOPITA WALIFANYA HIVYO KWA TIMU YAO PIA.
JE WEWE MDAU UNASEMAJE MAONI YAKO KUHUSIANA NA "KAKARABATI " SOKA LA VIJANA NCHINI.
TUNA "MAONI" YAKO oranjefootballacademy@gmail.com .