WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 23 April 2013

MUDATHIR YAHYA NA SEIF ABDALLA "KARIHE" WA O.F.A WAITWA KATIKA KIKOSI CHA PILI CHA TAIFA STARS.

JE HIVI TUTAFIKA TUNAPOTAKA KWENDA????

Huo ni msemo ambao wadau wengi wa soka wangependa kuwauliza viongozi wa soka nchini.

Katika kikosi kilichotangazwa  na kocha wa Taifa Stars Kim Poulsen ambacho kinawashirikisha nyota wakali 30 nchini ambao wataunda timu ya pili ya Taifa Stars yamo majina mawili ya nyota wa
ORANJE FOOTBALL ACADEMY AMBAO NI
KIUNGO MKALI MUDATHIR YAHYA
NA SEIF ABDALLA " wote kwa sasa wapo katika timu ya AZAM F.C.

UONGOZI WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY IMEPOKEA KWA FURAHA KUBWA WITO HUO KWA NYOTA WAKE KUCHAGULIWA KATIKA KIKOSI HICHO KINACHOJUMUISHA NYOTA WENGI WA TIMU KUBWA NCHINI.

ORANJE FOOTBALL ACADEMY INAJIVUNIA SANA KUTOA NYOTA HAO WAWILI KATIKA KIKOSI HICHO KUTOKANA NA KITUO HICHO CHA KUKUZA SOKA KWA VIJANA NCHINI KIMEANZISHWA MUDA SIO MREFU SASA NA TAYARI MATUNDA YAKE YANAANZA KULINUFAISHA TAIFA KAMA AMBAVYO ILIKUWA NI KUSUDIO KUBWA KWA KITUO HICHO.

LAKINI SUALA MATUNDA HAYO AMBAYO TAIFA INAYATARAJIA KUYAPATA KUTOKA KWA KITUA KIDOGO KAMA HICHI,NA VINGINE KAMA HIVI NCHINI AMBAVYO HAVIPATI MAPATA KUTOKANA  NA MKUSANYO WA MAPATO YA MLANGONI KAMA TIMU NYINGINE KUBWA ZILIVYO,PIA KUTOKUWA NA MFADHILI YOYOTE KAMA TIMU KUBWA ZILIVYO,

LAKINI JE HATA KUPATA HAKI ZAKE KUTOKANA NA KUTUMIA NGUVU,PESA NA JASHO LAO LOTE KUWALEA NYOTA HAO NA MWISHO WAKE KUISHIA MIKONONI MWA TIMU AMBAZO TU "KWA KIBURI CHAO" HUWATWAA NYOTA HAO BILA KUTOA HAKI ZA UHAMISHO KWA WACHEZAJI HAO,

JE HAPA NDIO TUTAFIKA?

JE MPAKA LINI UONGOZI WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY UTAENDELEA KULEA VIJANA AMBAO KWA UPANDE WA KITUO HICHO KUTOKANA NA MAISHA YALIVYOKUWA MAGUMU KWA UPANDE WAO WATAENDELEAJE KUGHARAMIKA KILE AMBACHO HAKINA TIJA YOYOTE KWAO?

JE KUTOKANA NA HALI HIO NI KUONYESHA KUWA VIONGOZI WA SOKA NCHINI HAWAHITAJII AU KUUTHAMINI MSAADA WA TIMU NDOGO KAMA HIZI AMBAZO NDIO KILA MWAKA ZINAZOZALISHA WACHEZAJI KAMA HAO NA KUCHUKULIWA TU "KIUBABE" BILA HATA KULIPIA HAKI ZA WALIOPOTEZA GHARAMA,MUDA,NA JASHO LAO KWA MUDA WOTE?

IKUMBUKWE KUWA BAO LA AZAM F.C KULE LIBERIA LILIPACHIKWA WAVUNI NA SEIF ABDALLA "KARIHE" HUKU MCHEZAJI HUYO MPAKA LEO UONGOZI WA RUVU SHOOTING AMBAO WALIMCHUKUA NA KUMUUZA MCHEZAJI HUYO ASIEKUWA MALI YAO KWA AZAM F.C WAUTAKI KUWASILIANA NA KITUO HICHO NA KULIPA HAKI ZAO ZOTE ZA KUMCHUKUA MCHEZAJI HUYO BILA YA UHAMISHO NA BILA MALIPO YOYOTE NA PIA KUMUUZA AZAM F.C  WAKIJUA SIO MCHEZAJI WAO HALALI.

TUNAPENDA KUWAONA WACHEZAJI WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY WAKICHEZEA VILABU VIKUBWA KWANI KITUO CHETU CHA ORANJE FOOTBALL ACADEMY NI KIWANDA CHA KUFUNZA SOKA NCHINI, LAKINI SUALA JE MPAKA LINI?

 JE TUTAPATA VIPI FEDHA ZA KUWALEA WADOGO ZAO WAKATI HATUNA MAPATO MENGINE YOYOTE YA KUKIENDELEZA KITUO CHETU HICHO.

NADHANI KAMA KUNA MPANGO WOWOTE UMEANDALIA NA SERIKALI AU TFF WA KUANZISHA KUIFANYA SOKA KUKUA NCHINI, HILO ITAKUWA GUMU SANA KAMA HAWATOWEZA KUTOA KIPAU MBELE KWA VILABU VIDOGO NA KULIPA HAKI ZA WALE WANAOWALEA KULE CHINI ILI KUWA NA NGUVU ZA KUZALISHA NYOTA ZAIDI KWA AJILI YAO,

USITARAJIE KUVUNA KAMA HUKUPANDA KITU,

NADHANI VILABU KAMA ORANJE FOOTBALL ACADEMY, SHEIN RANGERS WWW.SHEINRANGERS.BLOGSPOT.COM , NA VINGINEVYO NCHINI KAMA VIKISHINDWA NA GHARAMA NA KUAMUA KUVIVUNJA HUKO JUU WASITEGEMEE CHOCHOTE HATA KAMA KUTAWEKAZWA KIASI GANI.

TUNAOMBA HAKI ZITENDEKE KWA VILABU VIDOGO ILI TUWEZE KUWA NA NGUVU ZA KUWALEA NYOTA WENGINE WADOGO HAPA NCHINI.

UONGOZI WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY UNATOA PONGEZI KWA NYOTA WAKE MUDATHIR YAHYA NA SEIF ABDALLA KARIHE KWA KUCHAGULIWA KWAO KATIKA KIKOSI HICHO CHA TAIFA STARS NO:2

NA HIO ITATOA MSUKUMO MKUBWA KWA NDUGU ZAO KUKAZA BUTI KUWEZA KUFIKIA SEHEMU KAMA KAKA ZAO HAO WALIPO,
LAKINI NI MPAKA PALE UONGOZI HUO KAMA UTAWEZA KUMUDU GHARAMA ZA KUWASHUGHULIKIA NA KUPATA UWEZO WA KUWAGHARAMIA NYOTA HAO.

NA KAMA UONGOZI HUO UKISHINDWA NA KUWAACHIA VIJANA WAINGINE MITAANI KUZURURA,
BASI BAADA YA FAIDA YA SASA KWA TAIFA,WATEGEMEE HASARA KUBWA KWA VIJANA WAO AMBAO UONGOZI WA KITUO HICHO KAMA AMBAVYO VILIVYO VILABU VINGINE VYA WATOTO NCHINI NI WAZAZI NO:2 WA VIJANA HAO.

KWA NIABA YA ORANJE FOOTBALL ACADEMY INATOA PONGEZI KWA NYOTA WAKE MUDATHIR YAHYA NA SEIF ABDALLAH "KARIHE"

HONGERA SANA VIJANA.
...................................................
( HII HAPA NI HABARI KAMILI YA UTEUZI WA TIMU YA TAIFA STARS NO:2)

.......................
Kim Poulsen atanga timu ya pili ya Taifa StarsHabari Kuu


Taifa Stars

Tanzania Bara — 23 April 2013 Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen ametangaza timu ya pili ya Taifa (Young Taifa Stars) atakayoitumia kuangalia wachezaji ambao baadaye anaweza kuwajumuisha kwenye timu ya wakubwa.

Akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo (Aprili 23 mwaka huu) kabla ya kutaja kikosi hicho, Kim amesema timu hiyo ni sehemu ya Mpango wa Maendeleo wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) uliozinduliwa Aprili 4 mwaka huu ukilenga kuendeleza wachezaji.

Amesema timu hiyo inajumuisha wachezaji ambao wamepita umri wa kuchezea timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) na wakubwa ambao hawajapata fursa ya kuingia Taifa Stars, lakini atatumia Young Taifa Stars kuangalia uwezo wao.
“Timu hii ni kiungo kati ya vijana na wakubwa. Wengi wa wachezaji watakuwa vijana, lakini wakubwa wachache watapata fursa ya kuwemo ili kuangalia uwezo wao hata kama uko nyuma waliwahi kuchezea Taifa Stars. Lakini timu hii vilevile ni changamoto wa wachezaji wa Taifa Stars kuwa wapo wanaosubiri wazembee ili wachukue nafasi zao,” amesema.
Young Taifa Stars yenye wachezaji 30 itakuwa na kambi ya siku tano jijini Dar es Salaam kuanzia Mei 2 hadi 6 mwaka huu.

-Chanzo TFF


Makipa

Aishi Manula Azam

Hussein Shariff Mtibwa Sugar

Ali Mustapha YangaMabeki

Kessy Hassan Mtibwa Sugar

Kennan Ngoma Barnsley FC, Uingereza

Himid Mao Azam

Ismail Gambo Azam

David Mwantika Azam

Miraji Adam Simba

Mohamed Hussein Kagera Sugar

Waziri Salum Azam

Samih Nuhu Azam

Emily Mgeta Simba

Viungo

Haruna Chanongo Simba

Edward Christopher Simba

 (Mudathir Yahya akishikilia kikombe chake cha tunzo ya mchezaji bora wa ligi akiwa na O.F.A)

 (Mudathir Yahya akichukua zawadi ya mchezaji bora wa ligi kuu ya vijana akiwa na O.F.A)

 (Kiungo wa O.F.A Mudathir Yahya akiwa katika mazoezi na O.F.A)

(Mudathir Yahya kiungo mkali wapili kulia  akiwa katika mazoezi na O.F.A)
............................
Mudathiri Yahya Azam

William Lucian Simba

Jonas Mkude Simba

Hassan Dilunga Ruvu Shooting

Jimmy Shoji JKT Ruvu

Abdallah Sesem Simba

Ramadhan Singano Simba

Farid Mussa Azam

Vicent Barnabas Mtibwa Sugar


Washambuliaji

Hussein Javu Mtibwa Sugar

Jerome Lambele Ashanti United

Zahoro Pazi JKT Ruvu

Twaha Hussein Coastal Union

(Seif Abdalla karihe akionyesha vitu vyake)  
( Abdalla karihe wa kwanza kulia katika mazoezi na O.F.A)
............................................
Abdallah Karihe Azam

Juma Luizio Mtibwa Sugar