WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 2 May 2013

ORANJE FOOTBALL ACADEMY U17 WAANZA MAZOEZI YA KUJIANDAA NA 12 BORA


Baada ya kipindi kifupi kilichopita kufunga mazoezi kwa kumaliza hatua ya Makundi na kusubiria hatua inayofuata Vijana wa Oranje Football Academy (OFA) wameanza mazoezi Rasmi tarehe 1/5/2013 Saa 10:30 jioni kwa ajili ya maandalizi ya 12 Bora.
Kituo hiki pekee kwa Zanzibar chenye kukuza na kulea vijana kwa misingi iliyo bora kinajipanga kuhakikisha kinatoa vijana wenye sifa na uwezo mkubwa katika kucheza mpira kwa kujihakikishia wanapata nafasi nchi mbali mbali na timu mbali mbali kuwapeleka vijana wao kuendeleza vipaji hivyo.

hata hivyo kwa Upande wa U14 hawakufaulu hatu ya 12 Bora wao wanashirikiana na U17 kwa kufanya mazoezi ya pamoja na wakubwa zaidi kuongeza mbinu na kusoma ujuzi zaidi kutoka kwa wakali hao. vijana wetu wa U17wapo katika hali nzuri na uwezo mkubwa.