WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 12 May 2013

MAANDALIZI YA 12 BORA


VIJANA WA O.F.A KATIKA MAANDALIZI YA 12 BORA WAMECHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA TIMU YA MBWENI KIDS  KATIKA KIWANJA CHA MBWENI MATREKTA KATIKA MECHI HIO MATOKEO YALIKUWA SARE 4 - 4  MAGOLI MATATU YA O.F.A YAMEFUNGA NA FAHMBI HABIB "AGOGO" NA MOJA RASHID UJUDI (PIRLO).


VIJANA HAO WA KITUO CHA OFA WAMECHEZA MENCHI NYENGINE DHIDI YA TIMU YA TOTENHAM NA MATOKEO 2 - 2 KATIKA KIWANJA CHA UJAMAA.

VIJANA HAO WA  ORANGE FOOTBALL ACADEMY U17 JANA WALICHEZA MECHI NYENGINE YA KIRAFIKI DHIDI YA TIMU YA TOTENHAM  MATOKEO  YALIKUWA NI SARE YA 2 - 2.
MCHEZO HUO ULICHEZWA KATIKA KIWANJA CHA UJAMAA SAA 10:30 ZA JIONI
VIJANA HAO WA OFA U17 WATAENDELEA NA MAZOEZI SIKU YA JUMATATU 13/5/2013 KWA AJILI YA MAANDALIZI YA 12 BORA.