WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 2 May 2013

OFFICIAL WEBSITE ORANGE FOOTBALL ACADEMY IPO KARIBU KUKAMILIKA.


KITUA CHA KUKUZA SOKA KWA VIJANA NCHINI ORANJE FOOTBALL ACADEMY AMBAO NDIO WAMILIKI WA WEBBLOG HII.
WAKO KATIKA MCHAKATO WA MWISHO KUANZA KUITANGAZA OFFICIAL WEBSITE YAKE AIMBAYO IKO KATIKA KIWANGO CHA HALI YA JUU KINACHOTAKIWA KIMATAIFA.

LENGO NI KUTOA HUDUMA ZA KIURAHISI NA ZENYE UBORA ZAIDI KATIKA KUENDELEZA SOKA NCHINI.
KWAHIVI SASA WEBBLOG HII INATOA HUDUMA ZAKE ZA KAWAIDA KUPITIA KWA WEBBLOG MASTER WAKE ANAEISHI  NCHINI HOLLAND,

WEBMASTER MPYA WAKATI WEBSITE HIO ITAKAPOMALIZIKA ANATOKEA KATIKA MJI MKUU WA MOROCCO - RABAT AMBAE ANAISHI KILOMITA 2 KUTOKA KATIKA HOTEL YA GOLDEN TULIP WALIOFIKIA AZAM F.C YA TANZANIA AMBAO MWISHONI MWA WIKI HII WATACHUANA NA FAR RABAT YA JIJI HILO LA RABAT.

OFFICIAL WEBSITE AMBAYO IPO KATIKA HATUA YAKE YA MWISHO KUMALIZIKA INATENGENEZWA KATIKA MJI HUO WA RABAT NA NDIPO WEBMASTER HUYO MWANADADA BOUCHRA SLAK ATAKAEIONGOZA WEBSITE NA KUIHAMISHIA MAKAO YAKE KUTOKA HOLLAND KWENDA MOROCCO.

KATIKA HATUA NYINGINE KITUO CHA ORANJE FOOTBALL ACADEMY JANA ULIMTAFUTA NYOTA WAKE AMBAE YUPO NA AZAM KATIKA MJI WA RABAT SEIF ABDALLA "KARIHE" KUONA NI JINSI GANI AZAM WAMEJIPANGA KUWATUPA NJE YA MICHUANO HIO FAR RABAT LAKINI MWANANDINGA HUYO HAKUPATIKANA KUTOKANA NA MFANYAKAZI WA HOTELINI HAPO KUIAMBIA WEBBLOG YETU HUI KUWA WACHEZAJI WOTE WA AZAM F.C PAMOJA NA VIONGOZI WAKE WAMEKWENDA MAZOEZINI JIONI YA JANA.

TUNATARAJIA KITUO CHETU HICHI KITAPATA NAFASI NJINGINE YA KUJARIBU KUWASILIA NA NYOTA HUYO NA KUMPA MORALI ZAIDI YA KUZIDISHA UWEZO WAKE WA KISOKA PALE TU ATAKAPOPATA NAFASI YA KUIWAKILISHA TIMU YAKE HIO.

KATIKA OFFICIAL WEBSITE MPYA YA KITUA HICHI YA KUKUZA SOKA KWA VIJANA NCHINI ITAWEZA KUTOA HUDUMA ZAIDI KWA WADHAMINI MBALIMBALI KUTANGAZIA BIASHARA ZAO KUPITIA KATIKA OFFICIAL WEBSITE YETU PIA KUWATAMBULISHA WADHAMINI WETU AMBAO WATAKUWA WAKITOA MISAADA MBALIMBALI KATIKA KITUO CHETU HICHI CHA SOKA AMBAO WAMEPANIA KULISAIDIA TAIFA KUWA NI MOJA KATIKA VITUO BORA VYA KUFUNDISHA SOKA NCHINI NA KULIWEKA TAIFA LETU KUWA MOJA KATIKA MIAMBA YA SOKA SIO BARANI AFRIKA TU BALI HATA PALE ITAKAPOPATA NAFASI YA KUCHEZA NA NCHI ZA MATAIFA MENGINE DUNIANI.
TUNAWAKARIBISHA WADAU WOTE NCHINI WANAOTAKA KUWEKEZA,KUSHIRIKIANA AU KUSAIDIA  NA KITUO CHETU CHA ORANGE FOOTBALL ACADEMY (O.F.A) ILI KUFIKIA MALENGO YA KULIWEZESHA TAIFA LETU KUWA NA VITUO BORA VYA SOKA KWAAJILI YA MAENDELEO YA TAIFA LETU.