WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 25 May 2013

O.F.A U17 YAANZA KUONGEZA MAKALI LIGI 12 BORA


Vijana wa kituo cha Orange Football Academy (OFA) U-17 leo tarehe 25/6/2013.

wameweza kuifunga timu ya Villa Real mabao 2 - 0 katika mchezo No. 2 hatua ya 12 Bora Daraja la Junior 2012/2013.

Magoli ya Vijana wa Orange Football Academy yamefungwa na mchezaji Shaaban Yahya (XAVI) dakika 10 kipindi cha kwanza, na la pili limefungwa na Nassor Said Ali dakika 79.
Kwa ushindi huo wa leo OFA  U17  wamefikisha Point 4 katika michezo miwili ya hatua ya 12 Bora

kinacholeta faraja zaidi katika pambano la leo kikosi cha vijana wa OFA kinaonekana kubadilika kila siku kwa wachezaji kushindana kuhakikisha kila mmoja anapata nafasi ya kucheza mechi na kuweza kukuza kiwango cha hali ya juu.

mechi nyengine itachezwa tarehe 1/6/2013 dhidi ya New ZNZ Academy Round No. 3.
Vijana wa OFA wakifanikiwa kushinda mchezo huo watasonga mbele na kufikisha point 7 na kuweza kuingia hatua ya 4 Bora kwa ajili ya kusaka Ubingwa wa Ligi wa Junior.