WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday 20 May 2013

U17 YATOA SARE LIGI 12 BORA


VIJANA WA KITUO CHA ORANGE FOOTBALL ACADEMY (OFA) U17  JUMAMOSI 18/5/2013 KATIKA KIKWANJA CHA KIKWAJUNI WAMECHEZA MECHI YA LIGI 12 BORA DARAJA LA JUNIOR NA KUTOKA SARE YA 2 - 2 DHIDI YA TIMU YA F.C CARDIF MECHI ROUND No. 1

MECHI NYENGINE ROUND No. 2 na ROUND No. 3 ZITAKUWA TAREHE 25/5/2013 NA TAREHE 26/5/2013.
MAGOLI YA OFA YAMEFUNGWA NA FAHMI HABIB AGOGO NA FAHAD ADAM AMEIR ALAVES. TIMU LICHA YA KUWAKOSA NYOTA WAKE KADHAA KATIKA MCHEZO HUO KAMA HAMED MOH'D (RIBERY), MOH'D ABDULKARIM (MASCHERANO), SALUM HAMAD (KIPOLISI) LAKINI ILIWEZA KUCHEZA VIZURI NA KUONYESHA UWEZO KWA KUCHEZA SOKA SAFI NA LA KUSISIMUA NA KUWAPA BURUDANI MASHABIKI AMBAO WAMEJITOKEZA KWA WINGI KUFUATILIA TIMU YETU KATIKA MECHI ZAKE.