WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 10 November 2013

COACH PATRICK LIEWING AVUMBUA VIPAJI VIKALI O.F.A

Kocha mkali kutoka nchini ufaransa PATRICK LIEWING ambae hivi karibuni aligundua vipaji vikali vya soka katika kituo cha kukuza vipaji vya soka nchini Orange Football Academy vipaji ambavyo inashangaza sana kuona wataalamu wa soka nchini walishindwa kuviona hadi ujio wa kocha huyo
ambae kwa haraka haraka aligundua wakali kadhaa ambao makocha na wataalamu wakuu wa vilabu vikubwa nchini bado wakiwa na "changa la macho" kwa kushindwa  kuwagundua wakali hao kama wanavyoonekana katika picha hapo chini.

Fuatilia habari zaidi za wanandinga hao chipukizi kupitia katika official website yetu ya www.ofaznz.net.