WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 14 July 2014

TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WA HABARI MPYA

Kituo cha kukuza soka kwa vijana nchini Oranje Football Academy kinaomba samahani kwa wapenzi na mashabiki wote wa soka wanaofatilia maendeleo ya kituo chetu kwa kutoweka habari mpya kwa kipindi kilichopita,hiyo inatokana na matatizo ya kiufundi ambapo sasa tumerejea tena na kuanzia sasa tutaanza tena kutoa huduma zetu za habari za soka za kituo chetu pamoja na maendeleo ya habari za soka kwa vijana wengine nchini.
Kwamara njingine tena kituo chetu kinaomba radhi kwa usumbufu huo ambapo pia official website yetu itaanza kutoa huduma zake kama kawaida wakati wowote kuanzia wiki kwa habari mpya za maendeleo ya soka hapa nchini.