VITESSE ARNHEM U10
Nchi yetu hairuhusiwi wachezaji wenye uraia wa nchi mbili hivyo kuwanyiwa vijana wa Kitanzania wanaishi nje ya nchi yetu kuliwakilisha Taifa letu hivyo inabidi tuwe na muono mwingine kwa kupanda soka yetu kupitia katika mradi huu wa watoto wa rika mbalimbali kama wanavyoafanya wenzetu.
Aidha hivi sasa ni wakati mzuri kwa Wawekezaji kuwekeza katika soka la vijana pia kwenda sambamba na timu zote madaraja yote kulazimishwa kuwa na timu za vijana wa chini ya umri wa miaka 13-15-17 na 20 kwalengo la kuvipunguzia mizigo vilabu hivyo vya usajili pamoja na kuwafanya wachezaji hao vijana kuwa na uhakika kujengeka katika misingi ya kiuchezaji wa vilabu vyao na pia kujiweka tayari kama ambavyo hapo (katika picha) zinaonekanwa timu ya Vitesse Arnhem ya Holland ambayo ni timu dada ya Chelsea ya England ikianzisha mradi huu ambao utakuwa ni wa muda mrefu na endelevu.
VITESSE ARNHEM HOLLAND-CHELSEA B ( TAJIRI ABRAMOVIC )DARAJA ERADIVISIE:
U11
U12
U13
U14
U15
U16
17
VITESSE ARNHEM SELECTIE 7 JUNI 2015