WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 10 July 2015

CHAMA CHA SOKA CHA VIJANA -"kamati ya Central league"Kamati ya Central League ya Wilaya ya Mjini Magharibi Zanzibar katika kikao chake imetoa kalenda yake  kwa msimu huu wa 2015/2016 kama ifuatavyo:

kuanzia tarehe 20.07.2015  hadi tarehe 20.08.2015 ni Uhamisho na Usajili wa wachezaji.

Tarehe 29.08.2015 mpaka tarehe  13.09.2015 Upitishaji wa Wachezaji kuanzia madaraja Juvinile U13, Junior U15 na Central U 17.

14.09.2015 mpaka tarehe 13.09.2015 ni Semina kwa Waamuzi (wa madaraja yote),Mkocha, pamoja na viongozi wa timu zote. kwa lengo la kuzungumzia mambo mbalimbali yanayohusu mashindano hayo,maendeleo na manufaa ya soka kwa vijana wa madaraja hayo ndani ya wilaya ya Mjini pamoja na Taifa kwa ujumla.

Tarehe 03.10.2015 ni siku rasmi ya kuanza ligi ya vijana kwa madaraja yote ya vijana wa wilaya ya mjini Magharibi.

Kalenda hii ni kwaajili ya kamati ya Central League ya wilaya ya mjini Magharibi.

Tunaomba wadau wote kushirikia na kamati yetu ya wilaya ya Mjini,Vilabu,Makocha,pamoja na viongozi wa vilabu hivyo vya vijana  ambao ndio manufaa ya Taifa letu la baadae.